MFUMO WA MATOKEO TANZANIA
Shule za Msingi na Sekondari (O-Level)
Rahisi Kuitumia
Walimu wanafurahia kutumia mfumo wetu wa kuingiza alama
Mafunzo Rahisi
Mafunzo ya haraka na rahisi kwa walimu wote
Ushirikiano Bora
Walimu wanashirikiana katika kuingiza matokeo
Matokeo ya Haraka
Pata matokeo ya wanafunzi kwa urahisi na haraka
Teknolojia ya Kisasa
Kutumia teknolojia ya kisasa kurahisisha kazi
TAFUTA NENOSIRI
Weka barua pepe yako kupata nenosiri jipya.
JISAJILI
Unda akaunti yako mpya kwa usalama
- Angalau herufi 8
- Herufi kubwa (A-Z)
- Herufi ndogo (a-z)
- Namba (0-9)
Tayari una akaunti? Ingia hapa
USAJILI WA WANAFUNZI
Usimamizi wa Wanafunzi
Sajili, angalia takwimu na orodha ya wanafunzi
Usajili wa Wanafunzi
Usajili wa kuandika moja kwa moja
Usajili wa kiolezo (Excel Template)
- Chagua darasa hapo juu
- Pakua kiolezo cha Excel kwa darasa hilo
- Jaza majina na jinsi za wanafunzi (tumia "M" kwa mvulana, "F" kwa msichana)
- Pakua faili iliyojazwa hapa
Orodha ya Wanafunzi
| # | Jina la Mwanafunzi | Jinsi | Darasa | Vitendo |
|---|---|---|---|---|
Chagua DarasaChagua darasa kwenye orodha hapo juu ili kuona wanafunzi wake. | ||||
Mikondo ya Madarasa
USAJILI WA MASOMO
Usajili wa Masomo
Sajili, hariri na futa masomo
Sajili Somo Mkononi
Sajili Masomo kwa Template (Excel)
- Bonyeza "Pakua Kiolezo" - utapakua faili ya Excel
- Jaza masomo yote unayotaka kusajili
- Pakia faili iliyojazwa hapa chini
- Masomo yote yatasajiliwa moja kwa moja
Orodha ya Masomo
| # | Code | Jina la Somo | Ufupisho | Vitendo |
|---|
KUINGIZA ALAMA
Kuingiza Alama
Weka alama za wanafunzi kwa kila somo kwa muhula maalum
Chagua Muhula
Orodha ya Mihula
Tengeneza Muhula Mpya
Usimamizi wa Muhula
Muhula: -
| Jina la Mwanafunzi | Jinsi |
|---|
Kuingiza Alama kwa Template (Excel)
Chagua Masomo
- Chagua muhula na darasa hapo juu
- Chagua masomo unayotaka kuingiza alama
- Bonyeza "Pakua Kiolezo" - utapakua faili ya Excel
- Jaza alama za wanafunzi wote
- Pakia faili iliyojazwa hapa chini
MATOKEO NA RIPOTI
Matokeo na Ripoti za Wanafunzi
Chagua darasa na muhula ili kuona na kutengeneza matokeo
Muhula: -
Mipangilio ya Pointi na Divisheni
Viwango vya alama na Points za kila daraja
| Daraja | Alama kuanzia | Points |
|---|---|---|
| A | ||
| B | ||
| C | ||
| D | ||
| F | Chini ya D |
Mipaka ya Pointi → Divisheni
| Division | Pointi kuanzia | Pointi hadi |
|---|---|---|
| I | ||
| II | ||
| III | ||
| IV | ||
| 0 |
Masomo ya lazima
Mipangilio ya Madaraja ya Masomo
Mfumo wa Kuhesabu
Vipindi vya Madaraja
| Jina la Mwanafunzi | Jinsi |
|---|
Kutengeneza Ripoti za Wanafunzi (PDF)
RATIBA YA MASOMO
Tengeneza na Simamia Ratiba
Muundo wa ratiba: SIKU | DARASA | MUDA WA KILA KIPINDI. Awali ina Ratiba yake maalumu; Lower Classes ni Darasa la Kwanza–Darasa la Pili; Upper Classes ni Darasa la Tatu–Saba kwa General Timetable.
Ratiba Yangu
Pending Requests
Siku za Masomo kwa Wiki
Chagua siku ambazo shule inafanya masomo. Idadi ya vipindi kwa wiki itahesabiwa kwa siku hizi.
Mipangilio ya Muda kwa Makundi
Chagua kundi na siku kwa kila shughuli kama DINI, MICHEZO, n.k. Kipindi hicho kitawekwa kwenye kundi na siku iliyochaguliwa tu. Awali ina Vipindi Maalumu vyake tofauti na Lower/Upper.
Ugawaji wa Somo kwa Staff na Darasa
Kila Staff anaweza kupewa madarasa na masomo mengi. Mfumo huanza kwa kuyapa masomo ya kipaumbele nafasi halali za asubuhi. Masomo yenye vipindi vichache zaidi kwa wiki kuliko mengine hulindwa yasipangiwe asubuhi; ikiwa masomo yote yana idadi sawa ya vipindi, kipaumbele cha asubuhi hutumika kawaida. Ratiba pia husambaza masomo katika siku na vipindi tofauti.
Head of School
Namna ya Kuonyesha Majina ya Staff kwenye Ratiba
Mfano: JUMA ALEX JOHN → 1) JUMA ALEX JOHN, 2) J.A JOHN, 3) J.A.J, 4) J JOHN, 5) J.J.
Masomo ya Kipaumbele Asubuhi
Asubuhi ni 06:00–11:59. Chagua masomo yatakayopewa nafasi za asubuhi kwanza.
Aina ya Ratiba
Ratiba Kuu
RATIBA YANGU
Ratiba ya Masomo
USIMAMIZI WA STAFF
Usimamizi wa Staff Members
Sajili, hariri na futa staff members (Nenosiri limehifadhiwa kwa usalama
Sajili Staff Member
Orodha ya Staff Members
| Jina | Barua Pepe | Simu | Nenosiri | Vitendo |
|---|
MPANGILIO WA MFUMO
Mipangilio ya Mfumo
Dhibiti mipangilio yote ya mfumo wa shule
Utambulisho wa Ripoti
Pakia logo na mihuri itakayotumika kwenye ripoti za shule. Unaweza kuwasha/kuzima kila kipengele na kupanga ukubwa wake.
Kwa mihuri na sahihi, mfumo hujaribu kuondoa background kiotomatiki na kuacha wino wenye uwazi (transparent). Picha yenye background tata itaachwa bila kubadilishwa ili kulinda muhuri au sahihi.
Logo ya Shule
Muhuri wa Mwalimu Mkuu
Sahihi ya Mwalimu Mkuu
Sahihi ya Mwalimu wa Darasa
Sahihi hii inapakiwa na kusimamiwa tofauti kwa kila darasa na mkondo pale unapohusika.
Jina la Shule
Barua Pepe ya Head of School
Namba ya Simu ya Head of School
Badilisha namba ya simu inayohusishwa na akaunti yako ya shule.
Nenosiri la Akaunti
Uhamishaji wa Wanafunzi
Uhamishaji wa Automatik
Wanafunzi watahamishwa darasa la mbele automatik tarehe 1 Januari kila mwaka
Darasa la Saba Wahitimu
Darasa la Sita Darasa la Saba
... n.k
Awali Litabaki wazi
Uhamishaji wa Mkono
Bonyeza hapa kuhamisha wanafunzi darasa la mbele mara moja
Orodha ya Madarasa ya Wahitimu
| Jina la Darasa la Wahitimu | Idadi ya Wahitimu | Mwaka | Mwezi | Vitendo |
|---|
Futa Akaunti ya Shule
Futa Akaunti Yote ya Shule
Hii itafuta akaunti yako yote na data zote kwa kudumu. Hatuwezi kurudisha tena!
TUMA SMS
Sajili mzazi/mlezi
Orodha ya Wazazi na Wanafunzi
| Darasa | Jina la Mzazi/Mlezi | Namba ya Simu | Wanafunzi wake | Vitendo |
|---|---|---|---|---|
| Hakuna wazazi waliosajiliwa. | ||||
Tuma SMS
Historia ya SMS
| Tarehe | Namba | Ujumbe | Hali |
|---|---|---|---|
| Hakuna taarifa. | |||
PANELI YA MSANIFU MFUMO
Usimamizi wa Akaunti za Watumiaji
Msimamizi wa Mfumo
Dhibiti akaunti zote za watumiaji
EasyPay — Malipo ya Mfumo
Historia ya malipo yaliyorekodiwa na Tanzania Results System.
| Tarehe | Aina | Shule / Email | Kifurushi | Kiasi | Hali | Reference |
|---|---|---|---|---|---|---|
| Bonyeza Sasisha taarifa. | ||||||
EasyPay Payouts — Developer Withdraw
Weka Payout credentials, kagua ada na toa fedha kwenda namba iliyosajiliwa pekee.
Hizi ni tofauti na EasyPay Payment API Key/Secret Key. Zitawekwa salama kwenye Script Properties.
Namba ya kupokea: 0750183275 (imefungwa; haiwezi kubadilishwa). Njia: MOBILE MONEY.
Minimum Withdraw: TSh 5,000. Ada ya muamala itaoneshwa baada ya ukaguzi wa quote.
| Tarehe | Kiasi | Ada | Jumla | Hali | Reference | Mpokeaji |
|---|---|---|---|---|---|---|
| Inasubiri... | ||||||
Tahadhari: quote haisababishi utoaji fedha. Mfumo hukagua quote tena upande wa server kabla ya kutuma payout. Ombi linaweza kuwa PENDING/PROCESSING au kuhitaji idhini ya EasyPay; lihesabu kuwa limekamilika baada tu ya callback kuthibitisha COMPLETED. EasyPay documentation uliyotoa haijaeleza API ya kughairi payout iliyokwisha tumwa, hivyo mfumo hautatoa kitufe cha kughairi kinachoweza kuonyesha hali ya uongo. Rekodi za malipo ya shule/SMS si sawa na salio halisi la wallet.
SMS Control Centre
Usimamizi wa providers, salio, manunuzi na Sender IDs. Shule hazinunui SMS.
Kila shule hupata SMS 3 za bure mara moja. Baada ya hapo Developer huongeza SMS baada ya kuthibitisha malipo yaliyofanywa kwa Siwiti Software.
Switcher hii inadhibiti FREE TRIAL pekee. Kifurushi cha PAID kitaendelea kutumia Provider Switching ya kawaida hapo juu bila kuathiriwa.
eHUB API Configuration
SwalaSMS API Configuration
Credentials huhifadhiwa kwenye Script Properties pekee. Token haitarudishwa kwenye browser.
Tuma kwa wamiliki wote, baadhi ya shule au namba ulizoingiza mwenyewe. SMS hutumia salio la provider la Siwiti Software.
Udhibiti wa Madarasa
Chagua shule, kisha weka tiki kwenye madarasa unayotaka yasitumike. Vizuizi vinaathiri shule hiyo pekee.
Akaunti Zote za Watumiaji
| # | Barua Pepe | School Number | Namba ya Simu | Jina la Shule | School Level | Aina ya Usajili | Hali | Vitendo |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| Orodha itapatikana hapa ikiwa imehifadhiwa kwenye kifaa au baada ya kusawazisha. | ||||||||
Basic: TSh 2,500/mwezi · 30,000/mwaka
Gold: TSh 5,000/mwezi · 60,000/mwaka
Basic: TSh 5,000/mwezi · 60,000/mwaka
Gold: TSh 10,000/mwezi · 120,000/mwaka
MPANGILIO WA RIPOTI
Weka mipangilio ya ripoti kwa
BADILI NENOSIRI
Weka nenosiri lako la zamani na jipya
ONGEZA MTUMIAJI MPYA
Unda akaunti mpya ya shule
BADILISHA NENOSIRI LA MSANIFU
Sasisha nenosiri lako la msanifu kwa usalama.
UDHIBITI USAJILI WA MTUMIAJI
user@example.com
Tarehe na Muda Maalum:
LIPA KWA USALAMA KUPITIA SIWITI SOFTWARE
Baada ya kuanzisha malipo, thibitisha ombi litakalotumwa kwenye simu yako. Akaunti itaongezewa muda baada ya malipo kuthibitishwa.