Financial Management System
© Financial Management System | Developed by Dax Systems
Wasiliana nasi kupitia:
Weka barua pepe yako ili kupata nenosiri lako kwenye email.
Jisajili kwa mfumo wetu wa FEDHA
Jaza taarifa zako hapa chini
Tayari una akaunti? Ingia hapa
© Financial Management System | Developed by Dax Systems
Wasiliana nasi kupitia:
Vigezo na Masharti haya yanasimamia matumizi ya MFUMO WA TAARIFA ZA FEDHA ZA VIKUNDI ("Mfumo") unaotolewa na Dax Systems. Kwa kujisajili na kutumia Mfumo huu, unakubali kufungwa na masharti yote yaliyoainishwa hapa chini. Iwapo hukubaliani na masharti haya, tafadhali usiendelee kutumia Mfumo.
Taarifa zote za wanachama na miamala zinahifadhiwa kwa lengo la kumsaidia mtumiaji kuendesha shughuli zake za kifedha. Dax Systems inachukua hatua za kiufundi kulinda taarifa hizi, ingawa mtumiaji anashauriwa asishiriki taarifa zake za kuingia mfumoni na mtu yeyote asiyeruhusiwa.
Dax Systems inaweza kubadilisha Vigezo na Masharti haya wakati wowote. Mabadiliko yatawekwa kwenye Mfumo na kuendelea kutumia Mfumo baada ya mabadiliko kutamaanisha umekubali masharti mapya.
Dax Systems haitawajibika kwa hasara yoyote itokanayo na matumizi mabaya ya Mfumo, upotevu wa mtandao, au taarifa zisizo sahihi zilizoingizwa na mtumiaji mwenyewe.
Kwa maswali yoyote kuhusu Vigezo na Masharti haya, wasiliana nasi kupitia daxsystems.tz@gmail.com au namba za simu zilizoainishwa kwenye Mfumo.
Financial Management System
Muhtasari wa shughuli zako za FEDHA
Jumla ya Mapato
Jumla ya Matumizi
Salio halisi
Wanachama Wote
Wanachama Hai (Active)
Wanachama Wasio Hai (Inactive)
Jumla ya Wanachama
Akiba
Hisa
Mkopo Kilichokopeshwa (Kinachozunguka)
Faida Iliyotokana na Mkopo (Riba Iliyokusanywa)
Faida Inayotarajiwa (Mikopo Inayozunguka)
Faini Iliyokusanywa
Jumla ya Fedha Zote (Siyo Mikopo Inayozunguka)
Jumla ya Fedha Zote (Pamoja na Mikopo Inayozunguka)
Jumla ya Mapato
Jumla ya Matumizi
Halisi
Jumla ya Matumizi
Yamepangwa kwa tarehe (mapya juu). Rekodi 10 za mwisho zinaonekana kwanza.
| Tarehe | Maelezo | Category | Mfuko | Kiasi |
|---|
| Tarehe | Mwanachama | Aina | Kiasi | Kategoria | Maelezo | Imetumwa Na | Vitendo |
|---|
| ID ya Muamala | Mwanachama/Maelezo | Aina | Kiasi | Hali |
|---|
Maelezo ya Uanachama
Jumla ya Mapato
Jumla ya Matumizi
Salio halisi
Jumla ya Miamala
| Tarehe | Aina | Kiasi | Kategoria | Maelezo | Hali |
|---|
Bonyeza jina la mwanachama ili kuona miamala yake
Sajili, angalia, na dhibiti wanachama wako
| ID | Jina | Barua Pepe | Simu | Anwani | Hali | Tarehe ya Kujiunga | Vitendo |
|---|
Rekodi na dhibiti Miamala yako ya FEDHA
Jumla ya Mapato
Jumla ya Matumizi
Halisi
Jumla ya Matumizi
| ID | Mwanachama/Maelezo | Aina | Kategoria | Kiasi | Hali | Vitendo |
|---|
Toa na simamia mikopo ya wanachama
Mikopo Inayozunguka
Jumla Iliyokopeshwa (Inayozunguka)
Riba Inayotarajiwa
| Mwanachama | Mfuko | Mtaji | Riba | Jumla | Kimelipwa | Ongezeko | Salio | Hali | Vitendo |
|---|
Pakua Fomu ya Maombi ya Mkopo au Mkataba wa Mkopo kati ya Kikundi/Shirika na mkopaji, ukiwa umejazwa jina moja kwa moja. Sehemu zenye * ni lazima kujazwa; nyingine ni hiari.
Unaweza kuhariri na ku-"format" maandishi kama Microsoft Word (Nzito, Mlalo,
Ukubwa wa Fonti, Mpangilio, Orodha, n.k). Mabadiliko yote yanahifadhiwa
kudumu. Unaweza kutumia "placeholders" hizi ndani ya maandishi (zitabadilishwa
na thamani halisi wakati wa kutengeneza hati): {{MKOPAJI}},
{{MKOPESHAJI}}, {{KIASI_MKOPO}},
{{RIBA_PERCENT}}, {{RIBA_KIASI}},
{{JUMLA_KULIPA}}, {{MUDA_MAREJESHO}},
{{SABABU_MKOPO}}, {{TAREHE}},
{{TAREHE_KUREJESHA}}, {{ADHABU_PERCENT}}.
Unda na angalia ripoti zako za FEDHA
Kama huchagui muda, Ripoti itajumuisha kipindi chote (data zote).
Ripoti kamili itajumuisha Mapato na Matumizi yote (kipindi chote).
Ripoti hii itaonyesha mapato/matumizi yote.
Mapato
Matumizi
Salio halisi
Dhibiti mipangilio ya akaunti na mfumo wako
Kipimo hiki kinaeleza jinsi Asilimia ya Riba inavyokatwa: ikiwa "Kwa Mwezi", Riba inakatwa kwa KILA mwezi wa mkopo (idadi ya miezi utaingiza wakati wa kutoa mkopo); ikiwa "Kwa Mwaka", Riba inakatwa kwa kila mwaka. Mfano: Mkopo wa 50,000 kwa Riba ya 20% (Kwa Mwezi), Idadi ya Miezi = 3, ni Riba 50,000 × 20% × 3 = 30,000; Jumla ya Kulipa = 80,000.
Endapo mkopo hautalipwa ndani ya Tarehe ya Kurejesha, mfumo utaongeza ongezeko hili kiotomatiki kwa kila mwezi ulichelewa, kwenye Salio la mkopo. Ongezeko na Riba VYOTE huingia kwenye Mfuko wa "Riba ya Mkopo".
Kila mchango wa "Income" utagawanywa kiotomatiki kulingana na makundi haya. Mfano: TZS 4,000 ukiwa na 75% Hisa na 25% Akiba, utagawanyika kuwa TZS 3,000 kwenye Hisa na TZS 1,000 kwenye Akiba. Unaweza kuweka kundi moja (100%), mawili, au zaidi.
Chagua Category (moja au zaidi) ambazo mchango wake utagawanywa kulingana na Makundi ya Mgawo hapo juu. Categories za "Akiba", "Hisa", "Faini" na "Riba ya Mkopo" HAZIONESHWI hapa kwa makusudi - zenyewe ni mifuko ya msingi (pool) na HUINGIA MOJA KWA MOJA humo bila kugawanyika. Category isiyochaguliwa hapa (mfano "Mchango wa Mwanachama") itaingia moja kwa moja kwenye Mfuko wa Akiba kwa chaguo-msingi.
Category mpya utakayoongeza hapa itapata Mfuko wake wenyewe kwenye "Gundua" kiotomatiki, na itaonekana pia kwenye fomu ya Miamala (Mapato).
Category hii itaonekana kwenye fomu ya Miamala (Matumizi). Haihitaji mfuko wake mwenyewe - chanzo cha fedha kinachaguliwa tofauti wakati wa kuingiza muamala.
Ongeza aina mbalimbali za faini (mfano "Faini ya Kuchelewa", "Faini ya Kupiga Kelele") pamoja na kiasi chake. Aina hizi zitaonekana kwenye dropdown ya Category (Mapato) na pia kwenye orodha ya kuchagua faini endapo mtumiaji ataweka tick "Jumuisha Faini".
Maelekezo ya Kuanzia:
• Kila Mwezi: Kuongezeka kutaanza mwezi wa sasa IKIWA siku uliyochagua bado haijaisha mwezi huu
• Kila Mwaka: Kuongezeka kutaanza mwaka wa sasa IKIWA mwezi na siku uliyochagua bado haijaisha mwaka huu
• Mfano: Ikiwa leo ni 20 na umeweka tarehe 25, kuongezeka kutaanza mwezi/mwaka wa sasa
Hakuna mpangilio wa kuongezeka kiotomatiki
| Jina | Nafasi | ID ya Mwanachama | Tarehe ya Kuongezwa | Hali | Vitendo |
|---|
TAHADHARI: Badiliko hili litabadilisha muundo wa database yako. Hakuna data itapotea, lakini muundo utabadilika kulingana na aina mpya ya akaunti.
Aina ya Akaunti ya Sasa:
Tahadhari: Kufuta akaunti kutaondoa data zote na hauwezi kurudisha nyuma!